Nembo ya AFYA KWANZA Hospital

AFYA KWANZA HEALTH FACILITY

Kiwira – Rungwe, Mbeya

“Afya Yako Ndiyo Furaha Yetu”

Karibu AFYA KWANZA HEALTH FACILITY

AFYA KWANZA HEALTH FACILITY ni kituo cha afya cha tiba asili kilichopo Kiwira Tukuyu, Rungwe kinachotoa huduma za afya za viwango vya juu kwa jamii yote. Tumejitolea kutoa huduma bora za matibabu, kinga na uchunguzi kwa kutumia wataalamu waliobobea na vifaa vya kisasa.

Mazingira ya Nje ya AFYA KWANZA Hospital

Mazingira na Vifaa Vyetu

Picha za baadhi ya sehemu na vifaa vya tiba vinavyopatikana katika kituo chetu:

Saa za Huduma Zetu

Siku Saa za Huduma
Jumapili – Ijumaa Masaa 24
Jumamosi Huduma za Dharura tu
Siku za Sikukuu Masaa 24